TAKUN · BURE · KISWAHILI NA KIINGEREZA

Biashara yako.Kazi zako.Sherehe yako.

Andaa mialiko ya sherehe, tunza mauzo yako, tengeneza website ya biashara au link ya wasifu wako—bure.

Kazi yako inahifadhiwa kwenye akaunti yako. Ukiingia kwa simu au kompyuta nyingine, utaiona.

ANZA HAPA · HUDUMA 4 ZA BURE

Ungependa kufanya nini leo?

HATUA TATU

Rahisi kuanzia mwanzo.

  1. 01

    Chagua muonekano

    Angalia mifano kwenye simu au kompyuta, kisha chagua unaoupenda.

  2. 02

    Jaza taarifa

    Jina, picha, bidhaa, kazi zako au wageni. Ukibadilisha muonekano, ulichoandika hakipotei.

  3. 03

    Angalia matokeo

    Chapisha website au wasifu wako na usambaze link. Mialiko unaipakua, kuituma mwenyewe, kisha unapokea wageni kwa QR siku ya sherehe.

Ipe kazi yako nafasi ya kung’aa.

Anza bure leo. Kazi yako inakusubiri kwenye kifaa chochote.

MORE FEATURES COMING - STAY TUNED